>

ZAIDI YA MIL 400 ZINAKUSUBIRI WEWE, CHEZA NA USHINDE EXPANSE TOURNAMENT KASINO

Kila siku mapambanao ya utafuutaji lazima yaendelee, na siku zote mtafutaji hachoki, kupitia Meridianbet kasino ya mtandaoni kuna promosheni ya Tsh Milion 400,000,000/= kwaajili yako wewe, mpenzi w michezo ya kasino, Expanse Tournament ni yako kwa ushindi mkubwa. Jisajili na Cheza Meridianbet Kasino. Katika promosheni hii unapokuwa unacheza mchezo wako pendwa wowote ule uliotengenezwa na…

Read More

MWAMBA HUYU HAPA ATAJWA KUMALIZANA NA YANGA

 BEKI wa kazi ndani ya FC Lupopo Chadrack Boka anatajwa kumalizana na mabosi wa Yanga kwa ajili ya kuwa ndani ya timu hiyo msimu wa 2024/25. Beki huyo mwenye miaka 24 raia wa DR Congo Yanga wanatajwa kumalizana naye mapema kwa ajili ya kuimarisha kikosi hicho kinachonolewana Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ipo wazi kwamba Yanga…

Read More

BETPAWA YAFANYA AMSHAAMSHA MWANZA KUELEKEA FAINALI

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya betPawa imewazawadia vifaa vya michezo timu mbalimbali za mkoa wa Mwanza ikiwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya soka na amsha amsha ya mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA kati ya Borussia Dortmund na Real Madrid itakayofanyika Jumamosi, Juni 1, 2024. Tukio hilo lililopewa jina la Soka…

Read More

MATAJIRI WA DAR KAMILI KUIKABILI YANGA

AZAM FC wapo tayari Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa fainali dhidi ya Yanga. Ni CRDB Cup inatarajiwa kuchezwa Juni 2 2024 Uwanja wa New Amaan Complex kwa kila timu kupambania taji hilo. Miongoni mwa wachezaji waliopo na kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu Yusuph Dabo ni pamoja na Feisal Salum, Jhonier Blanco…

Read More

KOMBE LA YANGA LATUA KILELE CHA MT. KILIMANJARO

Baada ya msimu 2023/24 kumalizika Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa mara ya tatu mfululizo, Klabu ya Yanga wamepeleka kombe lao walilobeba msimu huu kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote Barani Afrika, Mlima Kilimanjaro. Kombe hilo leo Ijumaa Mei 31, 2024 limefika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro. Kabla ya msimu kuanza, Simba SC…

Read More

WAJUE WAWAKILISHI WA KIMATAIFA

PAZIA la Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 limefungwa kwa kila timu kujua ilivuna nini baada ya kupanda kwenye mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 za jasho kuvuja kupata matokeo chanya ndani ya uwanja. Hakuna ambaye alikuwa hana mpango wa kutwaa taji la ligi ila ipo wazi ni lazima mshindi awe mmoja katika timu 16…

Read More

KIBU DENNIS KIUNGO WA KAZI AIGOMEA STARS

KIUNGO wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda Kibu Denis amekataa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa akidai anakwenda mapumziko nchini Marekani. Taarifa za uhakika zinasema baada ya kuchaguliwa katika kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa na mechi dhidi ya Zambia kwa kuweka kambi ya siku 7 nchini Indonesia, Kibu alikaa…

Read More

MFALME WA PASI ZA MWISHO BONGO HUYU HAPA

UTAWALA mpya umesimikwa ndani ya Ligi Kuu Bara huku Klabu ya Azam FC ikiwa ni miongoni mwa timu ambazo zimefanya kweli kweye ushindani. Wakati wakiwa na mchezaji namba mbili kwenye chati ya ufungaji ambaye ni Feisal Salum akiwa katupia mabao 19 na pasi saba za mabao kuna mwamba anaongoza kwa pasi za mwisho. Ipo wazi…

Read More

ZIMBWE JUNIOR: HATUJAFIKIA MALENGO

NAHODHA msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe Junior ameweka wazi kuwa hawajafikia malengo yao ndani ya msimu wa 2023/24 kwenye Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba Simba imepishana na mataji yote muhimu kuanzia Ligi Kuu Bara, CRDB Federation cUP na Ligi ya Mabingwa Afrika. Itashiriki Kombe la Shirikisho msimu wa 2024/25 baada ya kumaliza ligi…

Read More

AZAM FC NA HESABU ZAO

YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa msimu wa 2023/24 ulikuwa na ushindani mkubwa na kila mchezaji alikuwa akitimiza majukumu yake. Ni wazi kuwa Azam FC inaungana na Yanga kupeperusha bendera ya Tanzania Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ambapo ilimaliza ikiwa na pointi 69 baada…

Read More

FEI TOTO AFUNGUKIA TUZO YA AZIZ KI

MFUNGAJI namba moja kwa wazawa Feisal Salum anayetimiza majukumu yake ndani ya Azam FC amempa pongezi mfungaji bora wa ligi msimu wa 2023/24 ndani ya ligi. Ikumbukwe kwamba vita ya kiatu cha ufungaji bora ilikuwa kali kati ya Fei aliyemaliza msimu akiwa na mabao 19 huku Aziz KI akitupia jumla ya mabao 21. Nyota hao…

Read More