
YANGA YATANGAZA RASMI KUMUONGEZA MKATABA MSHERY
KLABU ya Yanga imetangaza rasmi kumuongeza mkataba wa mlinda mlango wao namba (2), Aboutwalib Mshery (23). Mshery kwa msimu wa 2023/24 hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza kutokana na kutokuwa fiti mwanzo wa msimu lakini mwisho wa msimu alikuwa akipewa nafasi ya kuonyesha uwezo wake. Anaingia kwenye orodha ya wachezaji waliocheza hatua ya robo fainali…