
YANGA WATUMA SALAMU KWA WAPINZANI WAO KIMATAIFA
KUELEKEA katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Vital’O dhidi ya Yanga uongozi wa Yanga umebainisha kuwa watawaonyesha kwa vitendo wapinzani hao. Ni Agosti 17 2024 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex ikiwa ni hatua ya awali katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa…