
MERIDIANBET YAFIKA KIGAMBONI SIKU YA UTU DUNIANI
Meridianbet wamesambaza Utu mitaa ya Kigamboni katika siku ya Utu duniani baada ya kufika eneo hilo na kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa familia duni. Mara kwa mara mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakijitahidi kurudisha kwenye jamii yao haswa zile zenye uhitaji kwelikweli, Ndicho walichokifanya leo baada ya kufika kwenye familia zenye uhitaji…