YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA KEN GOLD
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya na kikubwa ni pointi tatu muhimu wanahitaji. Mchezo huo ni wa pili kwa Yanga ambao ni mabingwa watetezi ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar ulichezwa…