
HERI YA MWAKA MPYA 2024
JANUARI Mosi,2024 Neema ya Mungu imetuzunguka na kutufanya tuwe hapa kwa wakati mwingine katika hili tunapaswa kusema asante. Hakika ni wakati mwingine mzuri kwa ajili ya kuanza kupambania malengo ambayo yalianza kuandikwa tangu wakati ule unapambania yale unayohitaji. Kwenye ulimwengu wa mpira kila timu imefunga kwa mpango wake katika mechi za funga mwaka na wengine wana kazi…