
SINGIDA BLACK STARS V SIMBA DAKIKA 72 ZILIKUWA ZA BURUDANI
KWENYE mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida Black Stars dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa Liti, rekodi zinaonyesha kuwa dakika ambazo mpira ulichezwa hazikugotea 90 bali zilikuwa ni 72. Sababu kubwa iliyofanya dakika 90 zisiwe kwenye mchezo mazima ni kutokana na upotevu wa muda hasa katika dakika 45 za mwanzo wachezaji wa Singida…