Arsenal imekwea mpaka nafasi ya pili kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Ipswich Town katika dimba la Emirates huku iikiporomosha Chelsea mpaka nafasi ya tatu.
Washika Mitutu wamefikisha pointi 36 baada ya mechi 18, alama 6 nyuma ya vinara, Liverpool ambao wamecheza mechi moja pungufu.
FT: Arsenal 1-0 Ipswich
⚽ 23’ Havertz