SIMBA YAITULIZA SINGIDA BLACK STARS KWA NGOMA
LICHA ya Simba kuvuna pointi tatu mbele ya Singida Black Stars kwa bao la Fabrice Ngoma dakika ya 42 ulikuwa ni mchezo wa mabavumabavu mwanzo mwisho. Metacha Mnata kabla ya kufungwa alikuwa anapoteza zaidi ya sekunde 15 akiwa na mpira na baada ya Simba kufunga hali ikahamia kwa Mousa Camara. Ni dakika 4 ziliongezwa kipindi…