RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO

HII hapa ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ushindani wake unazidi kuwa mkubwa kila iitwapo leo ndani ya uwanja.

Desemba 27 2024

Azam FC v JKT Tanzania, saa 1:00 usiku itakuwa Uwanja wa Azam Complex.

Desemba 28 2024

Singida Black Stars v Simba, saa 10:00 jioni, itakuwa Uwanja wa Liti.

Dodoma Jiji v Mashujaa, saa 12:15, jioni, itakuwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Desemba 29 2024

Yanga v Fountain Gate, saa 10:00 jioni itakuwa Uwanja wa KMC, Complex.

Coastal Union v KMC, saa 10:00 jioni itakuwa Uwanja wa Amri Abeid.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.