JIUNGE NA MASHINDANO YA EXPANSE SLOT YA MERIDIANBET UPATE NAFASI YA KUSHINDA.

Wapenzi wa michezo ya kubashiri mnaalikwa kushiriki katika Mashindano ya Expanse Slot, yaliyopo mubashashara katika tovuti ya Meridianbet hadi Desemba 31, 2024.

Tukio hili maalum linapatikana kwa wachezaji wote waliosajiliwa kwenye tovuti na programu ya Meridianbet. Washiriki wanayo nafasi ya kushiriki michezo mbalimbali ya Expanse slot na kushindania zawadi za kusisimua.

Ili kushiriki mashindano haya, wachezaji wanapaswa kuwa na akaunti hai kwenye meridianbet.co.tz. Watumiaji wapya wanaweza kusajili akaunti zao kwa urahisi na kujiunga na mashindano haya. Kama bado hujajisajili, USIJALI…. JISAJILI SASA.

Michezo ambayo itahusishwa kwenye shindano hili la mabingwa ni kama ifuatavyo Book of Eksimo, Book of Egypt, Fortune Farm, Sticky 777, Veni Vidi Vici, Forest Rock, Piggy Party, Battle for the Throne, na Bounty Hunters

Kwa maelezo zaidi kuhusu kanuni na sheria za mashindano haya, tafadhali tembelea ukurasa wa promosheni kwenye tovuti ya Meridianbet.

Ikumbukwe hakutakua na mshindi mmoja tu wa Milioni taslimu kwakua hili ni shindano basi washindi watachukua kitita kama ifuatavyo

Mshindi nafasi ya 1- Tshs 1,000,000

Mshindi nafasi ya 2- Tshs 500,000

Mshindi nafasi ya 3 na 4- Tshs 250,000 kila mmoja

Mshindi nafasi ya 5- Tshs 100,000

Washindi hawataishia watano tu kwani wengine watakua wakipata mizinguko ya bure kwenye michezo mbalimbali ya kasino ambayo watakua wanacheza ambayo itawapa fursa ya kutengeneza maokoto ya kutosha.

Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.

 

NB: Jisajiri na Meridianbet upate bonasi kibao na kufurahia ushindi kila dakika unapobashiri michezo mbalimbali ikiwa na odds kubwa.