JKT Tanzania inatarajiwa kushuka Uwanja wa KMC, Complex kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Simba. Mchezo uliopita JKT Tanzania iligawana pointi mojamoja na Namungo.
Hiki hapa kikosi cha kazi cha JKT Tanzania kipo namna hii:-
Yakoub Suleman, Salum Salum, Wilson Nagu, Said Hamis, Brayson David.
Mohamed Bakari, Karimu Mfaume, Daniel Lyanga, John Bocco, Richard Maranya, Edward Songo, Mateo Simon, Hasan Dilunga, Seif Bausi, Omary Gonzo.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.