VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wanatarajiwa kushuka Uwanja wa KMC, Complex kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania ambao nao wanazihitaji pia pointi hizo muhimu.
Hiki hapa Kikosi cha Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kipo namna hii:-
Akiba ni Air Manula, Mzamiru Yassin, Jean Ahoua, Karabou Chamou, Joshua Mutale, Steven Mukwala, Augustin Okejapha, Yusuph Kagoma, Valentino Mashaka, Alexander Erasto.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.