LEO HII BAYERN, AC MILAN, NA WENGINE KIBAO DIMBANI KUKUPA PESA
Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo. Leo hii Uingereza CHAMPIONSHIP kuna mtanange wa pesa Luton Town atamkaribisha kwake Derby Country ambao wapo nafasi ya 14 wakati mwenyeji yeye yupo nafasi…