UPO TAYARI KUPIGA MSHINDO na EUROPA CONFERENCE LEAGUE LEO

Chelsea, Real Betis, Copenhagen na wangine kibao wamejiandaa kukupatia pesa leo hii. Je vipi wewe upo tayari kupiga mshindo na wakali wa ubashiri?. Ingia www.meridianbet.co.tz na ubeti sasa.

Djurgardens ataumana dhidi ya Legia Warszawa ya kule Poland wakiwa nafasi ya 4 kwenye msimamo huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 11. Kila timu inahitaji pointi 3 za ushindi huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakimpa mwenyeji nafasi ya ushindi kwa ODDS 2.20 kwa 3.25. Beti sasa.

Nao Apoel Nicosia atakuwa akipepetana dhidi ya FC Astana ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Mwenyeji yeye alishinda mechi yake iliyopita. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2018 na mwenyeji alipigika. Je leo hii atalipa kisasi?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.50 kwa 6.60.

Alhamisi ya kuondoka bingwa na Meridianbet hii hapa kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Chelsea atamleta Stamford Bridge Shamrock Rovers ya kule Ireland na ambao wapo nafasi ya 6 hadi sasa wakiwa na pointi 11. Meridianbet wanawapa The Blues nafasi ya kuibuka washindi kwa ODDS 1.07 kwa 30. Je beti yako wewe unampa nani?. Bashiri hapa.

Nao FC Copenhagen watakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya SK Rapid ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 2 pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 9 na mgeni wake akiwa nafasi ya 16. Mechi hii imepewa ODDS 2.75 kwa 2.60. Jisajili hapa.

Mechi nyingine ni hii ya Vitoria Guimares dhidi ya ACF Fiorentina kutoka kule Italia huku timu hizi zikifuatana kwenye msimamo wa ligi mwenyeji akiwa na pointi 13 na mgeni wake 12. Je kwa ODDS hizi za 3.35 kwa 2.32 nani anaondoka na pointi 3 hapa?. Tengeneza jamvi hapa.

Pia katika dimba la Voith-Arena kutakuwa mtanange wa FC Heidenheim vs FC. ST Gallen ambao wana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi hiyo wakiwa wameshinda mechi moja n asare moja kwenye mechi 5 walizocheza. Mwenyeji ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita. Je leo hii atakubali kuangusha tena pointi?. 1.60 kwa 5.20. Jisajili hapa.

Real Betis kutoka Hispania itakuwa ikisaka pointi 3 za ushindi dhidi ya HJK Helsinki ambao wapo nafasi ya 28 wakishinda mechi moja na kutoa sare moja. Mwenyeji yeye mpaka sasa anashikilia nafasi ya 17 baada ya kukusanya pointi 7. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa msimu juzi na Betis alishinda mechi zote. Je leo hii mgeni atalipa kisasi?. Mechi hii imepewa ODDS 1.15 kwa 18. Jisajili hapa sasa.

Huku FC Lugano yeye ataumana dhidi ya Pafos FC huku mechi hii kila timu inahitaji kupata ushindi wa uhakika leo. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee huku takwimu zikionesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana, hivyo leo hii ni mechi kali ya kusaka ushindi. 2.21 kwa 3.30 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.