
TABORA UNITED ‘YAWAKANDA’ AZAM NYUMBANI BAO 2-1
Tabora United haijapoteza mchezo wowote kwenye mechi sita zilizopita kwenye Ligi Kuu bara wakishinda 5 na kutoka sare mchezo mmoja licha ya kukutana na wababe kama Yanga Sc, Azam Fc na Singida Black Stars mpaka sasa. Kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Azam Fc, Tabora United imefikisha pointi 24 baada ya mechi 14 na wanasalia…