Al Hilal Omdurman ya Florent Ibenge imeendelea kuwa tishio kwenye Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika dimba la Cheikha Ould Boidiya, Mauritania.
FT: Al Hilal πΈπ© 2-1 π¨π© TP Mazembe
β½ 21β Abdelrahman
β½ 90+2β Girumugisha
β½ 64β Tshikomb
FT: Djoliba π²π± 0-0 πͺπ¬ Pyramids
MSIMAMO Kundi A
πΈπ© Al Hilal β mechi 2 β pointi 6
π©πΏ MC Alger β mechi 2 β pointi 4
π¨π© TP Mazembe β mechi 2 β pointi 1
πΉπΏ Yanga Sc β mechi 2 β pointi 0