YANGA YAPOTEZA MCHEZO WA PILI MFULULIZO KWENYE HATUA YA MAKUNDI YA LIGI YA MABINGWA

Wananchi, Young Africans Sc wamepoteza mchezo wa pili mfululizo kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya MC Alger katika dimba la Julai 5, 1962.

FT: MC Alger 🇩🇿 2-0 🇹🇿 Yanga Sc
⚽ 64’ Abdellaoui
⚽ 90+5’ Bayazid

FT: FAR Rabat 🇲🇦 1-1 🇿🇦 Mamelodi Sundowns
⚽ 74’ Hrimat
⚽ 66’ Rayners

MSIMAMO Kundi A
🇩🇿 MC Alger — mechi 2 — pointi 4
🇸🇩 Al Hilal — mechi 1 — pointi 3
🇨🇩 TP Mazembe — mechi 1 — pointi 1
🇹🇿 Yanga Sc — mechi 2 — pointi 0