
YANGA YAANZA SAFARI KURUDI BONGO, WATUMA SALAMU KWA WAZIRI
WAWAKILISHI wa kimataifa Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kukamilisha kazi ugenini kwa kupoteza kwenye mchezo uliochezwa Desemba 7 2024 Uwanja wa 5 July uliposoma MC Alger 2-0 Yanga wameanza safari ya kurejea Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi zinazofuata. Kwenye mchezo huo mabao yote yalifungwa kipindi cha piliΒ na Ayoub Abdellaoui…