RULAN MOKWENA AKUTANISHWA NA MANCHESTER CITY YA PEP GUARDIOLA

DROO ya hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Dunia kwa ngazi ya klabu itakayofanyika Nchini Marekani mwakani 2025 imetoka huku Wydad Casablanca ya Rulan Mokwena ikikutanishwa na Manchester City ya Pep Guardiola sambamba na Juventus na Al Ain ya UAE.

GROUP A
Palmeiras (Brazil)
FC Porto (Portugal)
Al Ahly (Egypt)
Inter Miami (USA)

GROUP B
Paris Saint-Germain (France)
Atletico Madrid (Spain)
Botafogo (Brazil)
Seattle Sounders (USA)

GROUP C
Bayern Munich (Germany)
Auckland City FC (New Zealand)
Boca Juniors (Argentina)
Benfica (Portugal)

GROUP E
River Plate (Argentina)
Urawa Red Diamonds (Japan) Monterrey (Mexico)
Inter Milan (Italy)

GROUP F
Fluminense (Brazil)
Borussia Dortmund (Germany)
Ulsan (South Korea)
Mamelodi Sundowns (South Africa)

Group G
Manchester City (England)
Wydad (Morocco)
Al Ain (UAE)
Juventus (Italy)

Group H
Real Madrid (Spain)
Al Hilal (Saudi Arabia)
Pachuca (Mexico)
Salzburg (Austria)