Tunasema ni Shukrani kwa Mikono ya Dhahabu ya Mfalme Mzee Yussuf ambapo kutakuwa na burudani za kutosha siku hiyo kutoka kwa Mfalme wa Muziki wa Taarabu akiwa na Jahazi lake.
Ni Jumapili, tarehe 8 Desemba 2024, ndani ya Brake Point Makumbusho, kuanzia saa moja usiku hadi mida ileeee!
Orodha ya mastaa ambao watakuwepo sio ya kinyonge kwa kuwa wapo wasanii wakubwa na wenye uwezo wakutosha kutoa burudani mwanzo mwisho, ushindwe wewe tu.
Malkia wa Mipasho Hadija Kopa, Malkia Leyla Rashid, Chiriku Originally Hadija Yussuf, Joha Kasimu, Mosi Suleiman, Fatuma Mcharuko na bend nzima ya Jahazi bila kusahau Nakshi Nakshi watakuwepo.
Tickets zinapatika
Mak Juice Sinza Africasana
Nanosa Beauty Mikocheni Warioba
Dickson Sound Magomeni
2 Collection Dubai Kinondoni
Little More – Mlimani City
Jipatie tiketi yako mapema!
• VIP kwa shilingi 50,000
• Kawaida kwa shilingi 20,000
Meza za VVIP zipo, piga simu: 0655 888 889 au 0788 559 283.