
ARSENAL VS MAN UNITED KIPUTE CHA KUKUPA HELA LEO
Kunako ligi kuu ya Uingereza leo kitapigwa kipute kikali ambacho kinaweza kua fursa ya wewe kunyakua mkwanja pale Meridianbet kati ya klabu ya Arsenal dhidi ya Manchester United. Arsenal leo watakua nyumbani kuikaribisha Man United kwenye dimba lao la Emirates ambapo washika mitutu wa London wakipewa nafasi nzuri zaidi ya kushinda mchezo huo, Huku…