
VINARA WA LIGI KUU BARA WACHEKELEA TRENI YA MWENDOKASI
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC wamebainisha kuwa baada ya kumaliza kazi ya kuvuna pointi tatu dhidi ya Dodoma Jiji, wanarejea Dar kwa usafiri wa treni ya mwendokasi , SGR Tanzania Ikumbukwe kwamba Desemba Mosi 2024, Azam FC walikuwa ugenini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Dodoma Jiji wakaibuka na ushindi wa…