>

MIKWANJA SIO WIKIENDI TU LEO MZIGO UPO WA KUTOSHA

Nani alikuambia mkwanja unapatikana wikiendi mpaka wikiendi tu huyo alikudanganya kupitia Meridianbet unaweza kutengeneza mkwanja kila siku, Jumatano ya leo ni moja ya siku hizo kwani itakwenda kupigwa michezo mikali ya kukupa maokoto.

Michezo mikali itakwenda kupigwa katika ligi mbalimbali ambapo La liga, michezo ya kufuzu ligi ya mabingwa ulaya msimu huu itapigwa, Lakini pia bila kuisahau michuano ya EFL Cup pale nchini Uingereza ambayo ipo mzunguko wa pili.

Baada ya kupigwa dhidi ya Barcelona wikiendi iliyomalizika leo Athletic club watakua nyumbani wakimenyana na klabu ya Valencia, Klabu ya Atletico Madrid leo watakua pale Wanda Metropolitano kukipiga dhidi ya klabu ya Espanyol.

Kwenye michezo ya kufuzu ligi ya mabingwa ulaya hatua ya makundi kwa msimu wa 2024/25 nayo itaendelea ambapo klabu ya Slavia Prague watacheza dhidi ya Lille, Huku Qarabag Fc wao wakimenyana na klabu ya Dinamo Zagreb.

Bado mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kuhakikisha unapigwa mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa kila siku bila kusahau wanaendelea kumwaga ODDS BOMBA kila siku.

Kutakua na michezo mingine ya michuano ya EFL pale nchini Uingereza ambapo itapigwa mechi kali kati ya Nottingham Forest Vs Newcastle, Wolves Vs Burnley, mchezo mwingine utakua ni kati ya Bournamouth Vs West Ham United.

Michezo yote itakayochezwa leo imepewa Odds za kutosha pale kwenye tovuti ya mabingwa wa kubashiri wa muda wote kampuni ya Meridianbet. Weka mkeka wako sasa uweze kujishindia mamilioni.