
JKT TANZANIA YATOSHANA NGUVU NA AZAM FC
WAJEDA JKT Tanzania wametoshana nguvu na matajiri wa Dar, Azam FC kwenye mchezo wa ufunguzi kwa timu zote mbili msimu wa 2024/25. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Meja Isahmuyo umesoma JKT Tanzania 0-0 Azam FC hivyo wababe hawa wawili wamegawana pointi mojamoja. Kwenye mchezo wa leo timu zote mbili kipindi cha pili…