
KIMATAIFA NA KITAIFA NI KIVUMBI, RATIBA HII HAPA
KIVUMBI kinatarajiwa kuendelea leo Agosti 24 kwenye anga la kimataifa ambapo kuna mechi kwa timu za Afrika Mashariki zitakuwa kazini kusaka ushindi ndani ya dakika 90. Baada ya mchezo uliopita uliochezwa Uwanja wa Azam Complex Yanga kupata ushindi wa mabao 4-0 leo watakabiliana kwa mara nyingine dhidi ya wapinzani wao Vital’O itakuwa Uwanja wa Azam…