
MRITHI MIKOBA YA MICHAEL FRED MAMBO SAFI SIMBA
RASMI Simba haitakuwa na nyota wao Michael Fred ambaye alikuwa kwenye kikosi hicho msimu wa 2023/24 kwenye mechi za ushindani kitaifa na kimataifa. Ikumbukwe kwamba Michael ambaye alipewa jina la fungafunga anaingia kwenye orodha ya nyota wapya ambao walipata nafasi ya kufunga kwenye Kariakoo Dabi kwenye mchezo wake wa kwanza ndani ya ardhi ya Tanzania….