![SINGIDA BLACK STARS KUKIPIGA NA MTIBWA SUGAR](https://salehjembe.co.tz/wp-content/uploads/2022/07/Masanza.png)
SINGIDA BLACK STARS KUKIPIGA NA MTIBWA SUGAR
HUSSEN Massanza, Ofisa Habari wa Singida Black Stars ameweka wazi kuwa watakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Mwenge. Timu hiyo imeweka kambi Dar na mchezo ujao wa ligi dhidi ya Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Massanza amesema kuwa wanatambua umuhimu uliopo kwenye ligi hivyo…