AHMED Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Semaji la CAF uso kwa uso na Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga, Ali Kamwe, jambo kubwa wajivunia miamba hawa wawili kwenye idara ya habari wakipata fursa vijana hawa wa Kitanzania wapambanaji.