>

AZAM FC YATAJA UGUMU WA APR ULIPO

BENCHI la ufundi la Azam FC limebainisha kuwa lina kazi kubwa yakufanya kuelekea mchezo wa marudio dhidi ya APR ya Rwanda unaotarajiwa kuchezwa Agosti 24 2024 huku likiweka wazi kuwa ugumu wa kupata matokeo mbele ya wapinzani wao ni eneo la ulinzi kutokana na namna ambavyo wanajipanga. Ipo wazi kwamba mchezo wa awali wa Ligi…

Read More

MERIDIANBET YAFIKA KIGAMBONI SIKU YA UTU DUNIANI

Meridianbet wamesambaza Utu mitaa ya Kigamboni katika siku ya Utu duniani baada ya kufika eneo hilo na kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa familia duni. Mara kwa mara mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakijitahidi kurudisha kwenye jamii yao haswa zile zenye uhitaji kwelikweli, Ndicho walichokifanya leo baada ya kufika kwenye familia zenye uhitaji…

Read More

AZIZ KI, CHAMA, KIBABAGE WAPEWA KAZI NZITO YANGA

NYOTA wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ikiwa ni Aziz Ki, Clatous Chama, Kibabage wamepewa kazi nzito ya kufanya kwenye anga la kimataifa kuhakikisha wanawapa furaha mashabiki Agosti 24 2024 na mashabiki kazi yao ni kuvunja rekodi kwa kujitokeza Uwanja wa Mkapa kuwashangilia wachezaji watakapovaana na Vital’O ya Burundi mchezo wa Ligi ya…

Read More

SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA AWESU AWESU

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa taratibu nyota wao wanazidi kuimarika kutokana na maandalizi mazuri ambayo wanayafanya chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Simba mchezo wa kwanza wa ligi uliochezwa Uwanja wa KMC, Mwenge iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United mabao yakifungwa na Che Malone dakika ya 14, Valentino Mashaka dakika ya…

Read More