SportsAMEFICHUA SIRI YA KAMBI MASTA GAMONDI Saleh4 months ago01 mins KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amebainisha kuwa sababu kubwa inayowa matokeo ndani ya uwanja ni namna ambavho wachezaji wanajituma na kushirikiana kwenye kusaka ushindi ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani. Post navigation Previous: AZAM FC WAIPIGIA HESABU APR KIMATAIFANext: YANGA KUWAKABILI VITAL’O UWANJA WA MKAPA KWA TAHADHARI