
MATAJIRI KIMATAIFA HAWANA FURAHA KABISA LICHA YA USHINDI
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Azam FC wameweka wazi kuwa licha ya kupata ushindi katika mchezo wa mkondo wa kwanza bado hawana furaha. Matajiri hao wa Dar Azam FC, Agosti 18 2024 walikuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya APR ya Rwanda na wakaibuka na ushindi wa bao 1-0. Bao hilo…