YANGA YAWATULIZA WAPINZANI WAO, 4G YASIMIKWA
VITAL’O ya Burundi imepoteza mchezo wake wa awali dhidi ya Yanga Uwanja wa Azam Complex baada ya dakika 90 kugota mwisho mazima. Ubao umesoma Vital’O 0-4 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi ambaye alianza na Clatous Chama, Aziz Ki, Prince Dube kwenye orodha ya wachezaji wa kikosi cha kwanza. Kazi ilianza kipindi cha kwanza…