>

EPL IMEREJEA KAZI KWAKO KUSHINDA MKWANJA

Ligi kuu ya Uingereza EPL inarejea leo ambapo klabu ya Manchester United inacheza na Fulham katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya Uingereza msimu wa 2024/25.

 

Manchester United watakua kwenye uwanja wao nyumbani leo pale Old Trafford wakijitahidi kuhakikisha wanauanza msimu mpya vizuri kwa matokeo ya ushindi dhidi ya Fulham ambayo nayo imeimarisha kikosi chake tofauti na msimu uliomalizika

 

Mchezo wa leo unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa kwani klabu ya Fulham pia ni moja ya timu ambazo zimekua na ubora kwenye ligi kuu ya Uingereza, Wakiwa wameongeza wachezaji wenye ubora kwenye kikosi msimu huu.

 

Bado mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kuhakikisha unapigwa mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa haswa baada ya EPL kurejea ambapo wanaendelea kumwaga ODDS BOMBA kila siku.

 

Ikumbukwe mara ya mwisho klabu ya Fulham kufika katika dimba la Old Trafford walifanikiwa kushinda kwa mabao mawili kwa moja, Hivo mchezo wa leo sio mwepesi kutokana na kilichofanywa mara ya mwisho na Fulham walipokutana tena katika uwanja wao wa nyumbani.