BABA YAKE NYOTA WA BARCELONA LAMINE YAMAL ACHOMWA KISU

Baba wa nyota wa soka wa Uhispania Lamine Yamal mwenye umri wa miaka 17 ameripotiwa kuchomwa kisu mara kadhaa kwenye eneo moja la maegesho ya magari. Kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya Uhispania, Mounir Nasraoui alishambuliwa katika mji wa pwani wa Mataró, kaskazini mwa Barcelona, ​​Jumatano usiku na kundi la watu aliozungumza nao…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE SIO KINYONGE

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa kwa msimu wa 2024/25 wataanza kazi kwa nguvu na sio kinyonge kwenye mechi tano za mwanzo ndani ya Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba msimu wa 2023/24 haukuwa bora kwa timu hiyo iliyogotea nafasi ya 11 baada ya mechi 30 ilikomba pointi 33 ilishinda mechi 8 iliambulia…

Read More

PAZIA LA LIGI KUU BARA LINAFUNGULIWA

BAADA ya maandalizi ya msimu wa 2024/25 kukamilika kwa timu zote ndani ya Bongo sasa pazia la Ligi Kuu Bara linakwenda kufunguliwa ikianza mzunguko wa kwanza ndani ya ligi. Ipo wazi kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga ilitwaa taj hilo likiwa ni la 30. Baada ya kucheza mechi 30 ni pointi 80 zilikuwa kibindoni…

Read More