
TFF YALAANI MWANDISHI KUPIGWA BAADA YA FAINALI NGAO YA JAMII
Kufuatia picha inayotembea mitandaoni ikielezea Mwandishi wa Habari kudai kupigwa baada ya mechi ya fainali ya Ngao ya Jamii, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limelaani kitendo hicho kwa vile mpira wa miguu si sehemu ya vitendo vya uvunjifu wa sheria huku likiamini katika mchezo wa kiungwana ndani na nje ya uwanja. Taarifa ya…