
BREAKING: MZEE MAGOMA ASHINDWA KESI – KUILIPA YANGA MIL 60+ – KURUJUANI YASHINDWA KUFANYA KAZI…
Mzee Magoma Rasmi ameshindwa kwenye kesi yake dhidi ya Yanga ambapo hukumu imetoka leo asubuhi saa 5 Katika mahakama ya kisutu na anatakiwa kuilipa fidia Yanga