YANGA KULIPA KISASI KWA MKAPA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea kwenye kilele cha Wiki ya Wananchi Agosti 4 2024 watalipa kisasi cha mtani wao wa jadi Simba kwa kuonyesha ukubwa walionao kwa kuujaza Uwanja wa Mkapa. Ipo wazi kwamba Agosti 3 2024 ilikuwa ni Simba Day ambapo mashabiki wa Simba walijitokeza wengi na mapema kabla ya tukio ilitagazwa…