Beki wa Yanga Sc na Timu ya taifa ya Tanzania, Ibrahim Bacca ameshinda tuzo ya beki Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2023/24.
IBRAHIM BACCA ABEBA TUZO YA BEKI BORA WA LIGI KUU YA NBC