Kiungo wa Azam Fc, Faisal Salum ‘Feitoto’ ameshinda tuzo ya mchezaji bora (MVP) wa kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB Federation Cup 2023/24) kwa msimu wa 2023/24.
‘FEITOTO’ AMESHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA (MVP) WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA CRDB