>

FAINALI YA SPAIN VS ENGLAND KITAWAKA JUMAPILI EURO 2024

Tarehe 14 June Dunia ilianza kushuhudia utamu wa EURO na sasa 14 July michuano hiyo inafikia tamati ambapo timu mbili za kuchuana fainali tayari zimepatikana ambapo ni Spain vs England. Meridianbet inakuuliza pesa yako utaiweka wapi? Katika dimba la Olympiastadion majira ya saa 4:00 usiku mbungi litawaka kati ya Spain vs England huku Meridianbet wakiwa…

Read More

GUEDE ASAINI SINGIDA BLACK STARS

MSHAMBULIAJI wa kimataifa Joseph Guede ametambulishwa na mabosi wa Singida Black Stars kwa ajili ya kupata changamoto mpya katika kikosi hicho. Guede raia wa Ivory Coast alitambulishwa ndani ya Yanga kwenye dirisha dogo yeye ni raia wa Ivory Coast ambapo mpango mkubwa ilikuwa ni kuongeza nguvu eneo la ushambuliaji. Nyota mwingine ambaye alitambulishwa Yanga kwenye…

Read More

MERIDIANBET KASINO, CHAKA LAKO LA UTAJIRI

Tanzania kuna migodi mingi sana, lakini mgodi mmoja tu unatoa pesa balaa, huhitaji kuwa chawa wa bosi ndio ushinde bali unahitaji simu yako na dau dogo tu, kisha ingia Meridianbet michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili hapa kisha anza safari ya ushindi. Mwisho wa promosheni ya Shindano la Expanse Kasino washindi 40, watagawiwa bonasi za…

Read More

YANGA YATAMBIA KIKOSI BORA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa una timu bora kwa sasa kutokana na usajili bora waliofanya kwa wachezaji wazuri na kuhakikisha wachezaji wenye uwezo wapo ndani ya timu. Ipo wazi kuwa Yanga msimu wa 2023/24 walitwaa taji la Ligi Kuu Bara, CRDB Federation Cup na iligotea hatua ya robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Ali…

Read More

KAZI INAENDELEA HUKO MISRI, BENCHI LA UFUNDI LAWASILI

KUELEKEA msimu wa 2024/25 wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa tayari benchi la ufundi limewasili kambini kuendelea na maandalizi. Ipo wazi kuwa kwa sasa timu zote Bongo zipo kwenye maandalizi kuelekea msimu mpya unaosubiriwa kwa shauku kubwa, Yanga ambao ni mabingwa watetezi na Azam FC hizi zipo Bongo huku Coastal Union ikiwa…

Read More

MWAMBA JOHN BOCCO KUKIWASHA HUKU

MTAMBO wa mabao ndani ya uwanja John Bocco bado yupo sana uwanjani ambapo kwa msimu wa 2024/25 atakuwa ndani ya kikosi cha JKT Tanzania. Ipo wazi kwamba Bocco ni mshambuliaji bora wa muda wote ndani ya Bongo akiwa amefunga zaidi ya mabao 100 kwenye ligi alianza kucheka na nyavu akiwa na Azam FC, Simba na…

Read More

EURO 2024: ENGLAND YAIFUATA UHISPANIA FAINALI

England imeifuata Uhispania kwenye fainali ya kombe la Mataifa Ulaya, EURO 2024 kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Uholanzi katika dimba la Signal lduna Park (Dortmund). FT: Uholanzi  1-2 󠁧󠁢󠁥England ⚽ Xavi 7’ ⚽ Kane (P) 18’ ⚽ Watkins 90+1’ FAINALI EURO 2024:- JULAI 15, 2024 UHISPANIA  vs 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 ENGLAND

Read More

UHISPANIA YAICHAPA 2-1 UFARANSA HUKU YAMAL AKING’ARA

Lamine Yamal amekuwa mfungaji mwenye umri mdogo zaidi katika historia ya michuano ya Uropa wakati Uhispania ilipoilaza Ufaransa katika shindano la kutinga fainali ya Euro 2024. Baada ya Randal Kolo Muani kufunga bao kwa kichwa kutoka kwa pasi ya Kylian Mbappe na kuwapa Ufaransa bao la mapema, Yamal alifunga bao lake la kwanza kutoka nje…

Read More