>

SIMBA WAPO KAMILI GADO KWA KAZI

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wapo kamili gado kwa ajili ya msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuanza kati ya Agosti. Ipo wazi kuwa msimu wa 2024/25 Simba iligotea nafasi ya tatu kwenye msimamo huku nafasi ya pili ikiwa mikononi mwa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo. Kwa sasa Simba…

Read More

ZAHANATI KAWE YANEEMESHWA NA MERIDIANBET

Kawe yaneemeka kupitia Meridianbet ndivyo unavyoweza kusema kwakua kampuni hiyo imefika eneo la Kawe na kufanikiwa kutoa msaada katika moja ya Zahanati eneo hilo. Huu umekua utaratibu wa miaka mingi kwa kampuni ya Meridianbet kuhakikisha inagusa yale maeneo yenye uhitaji, Awamu hii wamefanikiwa kuigusa moja ya Zahanati zinazopatikana katika eneo la Kawe jijini Dar-es-salaam. Mabingwa…

Read More

MKUDE ATINGA MAZOEZINI YANGA KWA KAZI

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Jonas Mkude rasmi amewasili mazoezini kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Mkude aliibuka hapo Yanga msimu wa 2023/24 akitokea Simba baada ya kupewa mkono wa Thank You na mabosi hao wa Msimbazi. Taarifa zilikuwa zinaeleza kuwa huenda nyota huyo angepewa mkono…

Read More

SIMBA INASUKWA UPYA HUKO

MWAMBA Fadlu Davids Kocha Mkuu wa Simba ana kibarua cha kusuka upya kikosi hicho kuelekea msimu wa 2024/25 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani kitaifa na kimataifa. Simba kwenye Kombe la Shirikisho Afrika itasubiri mshindi wa mchezo kati ya Uhamisho dhidi ya Libya kwa kuwa haitaanzia hatua ya awali. Mbali na Simba kupeperusha bendera ya Tanzania…

Read More

MWAMBA ABUYA KWENYE ANGA ZA KIMATAIFA YANGA

MWAMBA wa kazi Duke Abuya raia wa Kenya ambaye ni kiungo aliyekuwa ndani ya Singida Black Stars atakuwa kwenye anga la kimataifa na uzi wa kijani na njano katika kikosi cha Yanga. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi inafanya maboresho makubwa kuelekea msimu mpya ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kitaifa na kimataifa. Abuya…

Read More