CLATOUS CHAMA AFUNGUA SHAURI TFF
INAELEZWA kuwa kiungo mpya wa Yanga, Clatous Chama amefungua shauri kwenye mamlaka ya soka nchini akidai kuwa waajiri wake wa zamani hawajampa release letter ambayo itampa uhalali wa kuichezea Klabu ya Yanga. Klabu ya Simba inaelezwa kuwa imekataa kumpa release letter ikidai aliondoka kinyume cha utaratibu kwenda Yanga. Shauri hilo litasikilizwa leo 16 Julai 2024…