UBAYA UBWELA UWANJA WA MKAPA KITAUMANA

UBAYA ubwela itakuwa Uwanja wa Mkapa kwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda kitaumana kwa wababe hao ndani ya uwanja kusaka ushindi na utambulisho wa wachezaji wapya na wale waliokuwa na kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Katika usajili Simba haijatikisa kwenye anga la Bongo kutokana na kuwa na wachezaji…

Read More

MATUMAINI YA TANZANIA OLYMPIC 2024 YAPO KWA SIMBU NA WENZAKE

Matumaini ya Tanzania kwenye michuano ya Olympic 2024 yanayoendelea nchini Ufaransa kwasasa yapo kwa Alphonce Simbu pamoja na wenzake ambao wanaiwakilisha nchi kwenye mchezo wa kukimbia mbio ndefu (Marathon). Mpaka sasa Tanzania imebaki kwenye michuano miwili ambayo ni wa kuongea ambapo kuna mshiriki mmoja huku mmoja akiwa tayari ameondoshwa, Lakini kwenye riadha mbio ndefu wamebaki…

Read More

MWAMBA ALIYEWATIKISA AL AHLY NDANI YA YANGA

KATIKA Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Al Ahly Waarabu wa Misri walikuwa ni imara kwenye upande wa ulinzi kutokana na ukuta wao kutoruhusu mabao mengi ya kufungwa katika mechi za ushindani. Rekodi zinaonyesha kuwa mabingwa hao ambao walimenyana na Simba kwenye hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika walifugwa bao moja pekee…

Read More

KAZI YA SIMBA MISRI IMEKAMILIKA, ZAWADI INARUDI BONGO

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wamekamilisha kambi yao nchini Misri kwa mafanikio wanarejea kuwapa furaha mashabiki wao. Agosti 3 itakuwa ni kilele cha Simba Day na tayari wamefanya uzinduzi wa uzi mpya ilikuwa Julai 24 2024, kwenye hifadhi za Mikumi, Morogoro. Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni mechi tatu za kirafiki ilicheza…

Read More

SUPU YANGA YAKUTOSHA KUTOKA SPORTPESA

UHAKIKA kuelekea kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi kutakuwa na supu ya maana kutoka kwa SportPesa wadhamini wakuu wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Yanga Agosti 4 inatarajiwa kuwa ni kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo ni siku maalumu ya utambulisho kwa benchi la ufundi la Yang, wachezaji wapya na wale waliokuwa…

Read More

DILI LA KIBU D NA KRISTIANSUND BK LIMEKUFA

Dili la Kibu D na timu ya ligi kuu ya Norway,Kristiansund BK,limekufa Baada ya Simba kumtaka mchezaji huyo arejee nchini Mara moja. Mwanzoni Simba walikuwa kwenye mazungumzo ya moja kwa moja na Kristiansund BK,na walikuwa tayari kumuachia mchezaji huyo Ila ghafla Simba wakawatumia email Kristiansund BK ya kuwajuza Kibu hauzwi Tena…hii ni Baada ya kuhisi…

Read More