
MTANZANIA AKOSA MEDALI YA JUDO KWA KUPIGIKA HATUA YA 16 BORA
Waswahili husema hivi ng’ombe wa masikini hazai, na hii ndivyo imetokea kwa Mtanzania Thomas Mlugu licha ya kuanza vyema kwa kuibuka na ushindi katika hatua ya 32 kwenye mchezo wa Judo, Mlugu amepoteza pambano lake la hatua ya 16 bora dhidi ya Joan-Benjamin Gaba na kuikosesha Tanzania medali ya kwanza kwenye michezo hiyo. Baada ya…