TIMIZA NDOTO ZAKO NA MECHI ZA KIRAFIKI LEO

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet unaweza ukatimiza ndoto zako?. Kama ujaiuliza kivipi basi ni kwa kuchagua timu zako za ushindi na kusuka mkeka wako wa maana leo hii. Piga pesa na mechi hii ya Sevilla FC dhidi ya Al-Ittihad ya kule Saudi Arabia. Timu hiyo ilimaliza nafasi ya 5 kwenye ligi yao huu mwenyeji…

Read More

HUYU HAPA CEO MPYA SIMBA

RASMI uongozi wa Simba umemtangaza Uwayezu Francois Regis raia wa Rwanda kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo kuanzia Agosti 1, 2024 mara mkataba wa Imani Kajula ambaye yupo kwenye nafasi hiyo kwa sasa kugota mwisho. Taarifa iliyotolewa na Simba mapema Julai 26 kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohamed Dewji, (Mo) imeeleza…

Read More

UBAYA UBWELA NOMA SANA KUIBUKA KWA MKAPA

WAKATI uzi mpya wa Simba uliozinduliwa Julai 24 ukizidi kuwa gumzo kila kona kutokana na ubunifu wake pamoja na nembo ambazo zimetumika uongozi wa timu hiyo umebainisha kuwa ubaya ubwela hautaishia kwenye uzi pekee bali mpaka mechi zao zote kazi ipo palepale. Miongoni mwa mechi ambazo zinasubiriwa kwa shauku kubwa kwa sasa ni Kariakoo Dabi…

Read More