>

VITAL’O DHIDI YA YANGA KUCHEZA UWANJA WA AZAM COMPLEX

Kwa taarifa za awali ni kwamba mechi za kimataifa za hatua ya awali kati ya Vital’O ya Burundi na Yanga SC ya Tanzania, zinaweza kuchezwa hapahapa Tanzania kutokana na changamoto zisizo za kimichezo, Hivyo Vital’O wanatazamia kucheza michezo yao ya awali kwenye viwanja walivyoviomba nje ya Burundi ambapo uwanja wa KMC na Azam Complex ni…

Read More

YANGA HATUFIKIRII USHINDI

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawafikirii ushindi kwenye mechi za kirafiki hivyo kupata ushindi ni matokeo ambayo yanawaongezea nguvu kuendelea kupambana zaidi. Ipo wazi kuwa Yanga imeweka kambi Afrika Kusini kwa maandalizi ya msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuanza Agosti 8 2024. Julai 24 2024 Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0…

Read More