YANGA KAZINI, MWAMBA HUYU HAPA MAJANGA
MENEJA wa Yanga SC, Walter Harson ameweka wazi kuwa maandalizi yanaendelea vizuri nchini Afrika Kusini kwa ajili ya msimu wa 2024/25 kwa kuwa wachezaji wapo vema. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ipo kambini Afrika Kusini kwa maandalizi ya mechi za kitaifa na kimatafa ambapo Yanga inashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Leo Julai 24…