
SIMBA DAY UBAYA UBWELA, VIINGILIO HIVI HAPA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa uzinduzi wa Simba Day 2024 utafanyika Morogoro na safari inatarajiwa kuwa Julai 24 2024 kwa mashabiki na viongozi kuelekea mji kasoro bahari. Ahmed Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa lengo kubwa ni kuendeleza utofauti ambapo watafanyia uzindi kwenye hifadhi ya Mikumi kuhamashisha utalii…