>

Cheza Kasino Ushinde Mamilioni ya Expanse

Jisajili Meridianbet ushinde hadi Tsh 2,500,000/= kutoka shindano la Expanse, Michezo ya Kasino ya Mtandaoni inakupa nafasi ya kujitajirisha. Usipange kuikosa Promosheni Baab Kubwa.   Mwisho wa promosheni ya Shindano la Expanse Kasino washindi 40, watagawiwa bonasi za kasino na pesa taslimu kwenye kaunti zao za Meridianbet.   ZAWADI ZIKOJE?   Expanse Tournament inatoa mgao…

Read More

AZAM FC WANA IMANI KUBWA KINOMANOMA

HASHEEM Ibwe, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa maandalizi ambayo yanafanyika kuelekea msimu ujao yanawapa nguvu ya kuamini kwamba watafanya vizuri kwenye mashindano ambayo watashiriki. Azam FC inanolewa na Kocha Mkuu,Yusuph Dabo imeweka kambi Morocco kuelekea msimu mpya unaotarajiwa kuanza Agosti 16 2024 na ratiba ya Ngao ya Jamii tayari imeshatoka. Ngao ya Jamii…

Read More